Kolo – Nadia Mukami X Otile Brown 

Kolo Lyrics - Nadia Mukami X Otile Brown

SingerNadia Mukami X Otile Brown
MusicNadia Mukami

Kolo Lyrics

Mwana wa sheri toto la mamaye
(Nadia…)

Verse 1:
Eti dera bila tako ni kanzu, bora ata upinde mgongo
Hizo style zimeganda gundi, bora upeperushe mikono
Mauno ya kitanga na mvita, hayana mwendo yanalegea
Sina budi kuazima dera, niwakomeshe wasikie vibaya

CHORUS:
Kolo Kolola Kolo
Kooolo Kolola Kolo…. Oooh
Embe dodo jamani yangu Embe dodo
Embe dodo tazama yangu Embe dodo
X2
Cheza cheza mama weh cheza X2

VERSE 2:
Mmmmh nasema brrr bang
Nasema mtoto wewe ni mnaughty
Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti
Ulivyo wa Moto umenipiga shoti
Twende tukacheze bango
Mama it takes two to tangle
Niko mwenyewe nami niko jamo
Kula moja moja ndo utamu wa karanga….
Kwa Mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga
Ngozi nyororo mtoto wa kidosi
Piga picha insta nikuposti
Simiti imekauka roboti
Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi
Ninavyocheza kayamba (aii wewe)
Kiunoni ana shanga (aiii wewe)
Anajua kama danga (aii wewe)
Kaniroga Kwa mganga (aii wewe)

Embe dodo, jamani langu Embe DODO (X2

CHORUS:
Kolo Kolola Kolo
Koolo Kolola Kolo….
Embe dodo jamani yangu Embe dodo..
Embe dodo
Tazama yangu Embe dodo
Kolo kolola Kolo
Kooolo Kolola kolo…
(cheza mama weh cheza
Cheza cheza mama wewe cheza

BRIDGE:
Ninavyocheza kayamba
Kiunoni nina shanga
Ninajua kama danga
Kaniroga kwa mganga X2