Ushamba – Harmonize 

Ushamba Lyrics - Harmonize

Singer Harmonize
Music Harmonize

Ushamba Lyrics

Kondeboy
Weeeeeeeee

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
pesa ya kulipa gesti unayo eeeh nyumbani
familia inapiga miyayo eeeh
mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh huo ni ushamba
inaboa kudadadeki dereva wa uber hataki kuova teki eti
kisa pesa haiongezeki eeeh huo ni ushamba yupo kitandani
kajilegeza eeh mi nimeshapaka vya kuteleza eeh eti bebi
leo simba wanacheza eeeh huo ni ushamba husband material
kutwa unalike picha za makalio vya wenzako usijipe
matamanio eeh huo ni ushamba Ashura wa mbagala
huna pakula pakulala komenti ndefu picha za
kajala huo tunaita eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huoni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
mmmh malejendi si wamerudisha vita wanahofia eti jeshi
anawapita bila sababu wananikunjia ndita
eeh huo ni ushamba limechoka acha nilikalagaze halina
meno ilo simba zeee likila demu lazima litangaze huo
tunaita eeeh huo ni ushamba hivi dunia ndo ipo kikomo
eeh maana hadi waganga wanapiga promo hadi insta
eeh wana page za kujipigia domo eeeh huo ni ushamba amepanga
chumba huko vingunguti yupo mbezi kwa demu pesa
hatafuti mmh vipi akikupiga kibuti eeeh huo ni ushamba
aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala
unataka nilipe tena ni busara eeeh huo ni ushamba

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Verse
kaja na vumbi uso umefubaa anadai kapaka poda eeh kaniomba nauli ya uber
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda vitu vingine
haviji na ubongo eeh punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu
humjui unampakia mkongoo eeeh huoni ushambaa yeye ndo
kalewa kuliko wote anaimba nakucheza ngoma zote wakati
wakulipa bili sina chochote eeh huo ni ushambaa
meno yote nje anachekelea ahsante bebi nimepokea hasa mbona
haujatuma na yakutoleaa eeeh huo ni ushambaa kumepambazuka
alfajiri tupo club wana anasema subiri yani kisa yeye ndo
mwenye usafiri aah eeeh huoni ushambaa
tunaishi kwa nyumba ya kupanga mwenzetu unatuletea
muganga unataka wote tuonekane wangaa huo
tunaita eeeh huo ni ushambaa

Chorus
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa.

hehehehee hasa kama kama tumekutana mchana unasema haujala
heheheee asubuhi si ungeniomba
mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah

Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa huoni
Huo ni ushambaa huo ni huo ni ushambaa

they call me kondeboy no 1 jeshiiiiiii